Karibu katika blog ya Past Papers za Necta. Blog Hii itakuletea past papers zote za necta zitakazopatikana, maboresho yataendelea ili kuifanya kuwa bora zaidi. Natumaini itakuwa msaada kwa vijana wa Tanzania hususan waliopo kidato cha Pili, Nne na Sita. Tutawaletea segment ya Solving ili kukamilisha kiu ya wadau wengi. Karibu, wajuze ndugu, jamaa na marafiki juu ya blog hii. Ahsante.
Naomba past papers zote za history
JibuFuta